Timu za Mali na Uganda zimetoka sare ya kufungana mabao 2-2 katika duru ya kwanza ya michuano ya Mataifa ya Afrika, Jumanne hii Januari 19 katika uwanja wa Rubavu. Zambia, ambao wamewafunga Zimbabwe 1 ...
Mali imepata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Zimbabwe katika kundi la 4 mechi iliyochezwa mjini Rubavu. Goli hilo lilipatikana kunako dakika ya 82 na kufungwa na mshambuliaji Moussa Sissoko. Kwa ushindi ...
Mali lazima iilaze Uganda katika uwanja wa Stade d'Oyem na kutumai Misri itapoteza kwa Ghana katika kundi D iwapo watafika katika hatua ya robo fainali. Lakini upande wa meneja Alain Giresses ...